Matena Associates ilianzishwa mwaka 1995 kwa dhamira ya kutoa huduma bora za ushauri na ukaguzi wa mahesabu. Kwa zaidi ya muongo mmoja, tumekuwa nguzo ya ufanisi na imani kwa wateja wetu.
Kuwa kinara wa kutoa huduma bora kwa kuwezesha wateja kufikia mafanikio na utawala bora.
Kuwa kampuni inayoongoza Afrika Mashariki kwa huduma za ukaguzi na ushauri wa kifedha.
Kuimarisha usimamizi wa fedha na kutoa huduma zinazokidhi viwango vya kimataifa.
Tuna wataalamu wa kifedha, wakaguzi wa mahesabu, na wanasheria waliobobea. Kwa pamoja, tunatoa huduma bora na za kuaminika.